Monday, 23 December 2013

MERRY CHRISTMAS WANA MATOKEO

.....NA HERI YA MWAKA MPYA 2014


Matokeo Publishers inawatakia wateja na wadau wake wote sikukuu njema za Krismasi na Mwaka mpya wa 2014.


Na pia Matokeo Publishers inapenda kutumia fursa hii kuwashukuru kwa ushirikiano wote mliouonyesha kwa kipindi kizima cha mwaka 2013. Mmekuwa sababu ya biashara yetu kukua na kuimarika. Twende sote na kuimarisha uhusiano wetu hata zaidi kwa mwaka 2014. Kila hatua yenu njema ya kimaendeleo ikafanikiwe na kuzaa matunda yaliyotarajiwa.


KWA PAMOJA TILIJENGE TAIFA LETU NA KUBORESHA JAMII ZETU. TUSONGE MBELE KWA KASI 2014



 MUNGU AWE NANYI KATIKA KILA MIPANGO YENU YA MAENDELEO