Tuesday, 20 August 2013

POSTERS ZA VIWANGO VYA JUU

KWA WALE WANAOHITAJI POSTERS KWA SIZE YA A4, A3 AU NYINGINE, KARIBUNI SANA. KATIKA MIKUTANO YA INJILI TUNAWAPA TRACTS ZA SIZE YA A6 BURE KABISA, KARIBUNI SANA TUFANYE KAZI PAMOJA NASI




VILEVILE TUNATENGENEZA FLYERS NA KADI ZA AINA MBALIMBALI

KWA KADI ZA HARUSI NA MATUKIO MENGINE MBALIMBALI

Kadi ya mchango wa harusi ya Peter Mwita Godfrey

Ratiba za kuvutia kwa ajili ya Harusi na host wako MC Harris Kapiga