Monday, 22 July 2013

KAZI NYINGINE BORA KUTOKA MATOKEO PUBLISHERS

POSTERS ZA MIKUTANO MBALIMBALI YA INJILI
Mkutano wa Msae - Marangu Kilimanjaro. Umehusisha Mwinjilisti Richard Chidundo na wengine kutoka nje ya Tanzania. Karibu sana kwa kazi njema na mtapata bure tracts kadhaa kwa ajili ya kuwagawia watu kwenye mikutano ya injili. Mbarikiwe sana!

Huu mkutano umeandaliwa na wanafunzi wa Chuo cha Afya Muhimbili kama mpango wa Outreach. Karibu sana kwa kazi njema na mtapata bure tracts kadhaa kwa ajili ya kuwagawia watu kwenye mikutano ya injili. Mbarikiwe sana! Ahsante sana designer mwenye viwango - Bonkey

Saturday, 20 July 2013

WAKATI WA UZINDUZI WA KITABU CHA DK. NGOWI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizindua kitabu cha Dk. Prosper Ngowi "The Economic Crisis of the 2000's and Beyond"
Kwa Hisani ya Vijimambo blog, fuata link hapo chini
http://lukemusicfactory.blogspot.co.uk/2013/05/waziri-mkuu-mstaafu-edward-lowassa.html

Wednesday, 17 July 2013

Tuesday, 16 July 2013

BAADHI YA KAZI TULIZOZIFANYA

 Cover ya Kitabu cha Prosper Ngowi: The Economic Crisi of the 2000's and Beyond kilichozinduliwa mwezi mei na Mheshimiwa Edward Lowassa
Kalenda ya Muhimbili Fellowship of Evangelical Students (MUFES) 2013

KARIBU SANA KATIKA BLOG YA MATOKEO PUBLISHERS

Bango hili linaonesha baadhi ya huduma tunazozitoa hapa Matokeo Publishers. Karibu sana upate huduma bora na za kiwango cha juu kabisa kwa haraka na kwa gharama nafuu.

Matokeo Publishers and Printers; We Design and Print Annual reports, Biographies, Books, Brochures, Bussiness cards, Calenders, Flyers, Letterheads, Magazines, Newspapers, Product labels, etc Pia tunatoa huduma ya kuchoma na kuuza plate, Ku-stitch vitabu, Digital printing, Offset printing, Kukunja karatasi, Perfect binding, Kutafsiri, Kuhariri vitabu, na Graphic Design Tunapatikana mtaa wa Kibambawe/Jangwani - Kariakoo, P.O. Box 10874, Simu: 0714 949312/0785 676957 Dar es Salaam, Tanzania