Monday, 23 December 2013

MERRY CHRISTMAS WANA MATOKEO

.....NA HERI YA MWAKA MPYA 2014


Matokeo Publishers inawatakia wateja na wadau wake wote sikukuu njema za Krismasi na Mwaka mpya wa 2014.


Na pia Matokeo Publishers inapenda kutumia fursa hii kuwashukuru kwa ushirikiano wote mliouonyesha kwa kipindi kizima cha mwaka 2013. Mmekuwa sababu ya biashara yetu kukua na kuimarika. Twende sote na kuimarisha uhusiano wetu hata zaidi kwa mwaka 2014. Kila hatua yenu njema ya kimaendeleo ikafanikiwe na kuzaa matunda yaliyotarajiwa.


KWA PAMOJA TILIJENGE TAIFA LETU NA KUBORESHA JAMII ZETU. TUSONGE MBELE KWA KASI 2014



 MUNGU AWE NANYI KATIKA KILA MIPANGO YENU YA MAENDELEO

Sunday, 13 October 2013

Friday, 11 October 2013

CUSTOMISED EVERYTHING ... WAHI SASA UPATE YA KWAKO!!!!

UNATAKA SCHOOL ATTENDANCE REGISTER KAMA HII YA REFGAMO? SHULE YAKO/TAASISI YAKO YA ELIMU INAWEZA KUWA NAYO YA KWAKO KWA MTINDO KAMA HU AU WOWOTE UTAKAOPENDELEA...KARIBU UONE "MATOKEO" UNACHOWAZA TUNAKIWEKA KATIKA MATENDO NA KUKUPA BIDHAA BORA!!!

HAYA NI MADAFTARI NA "DIARY" ZA WANAFUNZI WA HOPE ROLLERS DAY CARE. JIVUNIE SHULE YAKO, WEKA DAFTARI ZA WANAFUNZI WAKO KWA NAMNA INAYOVUTIA NA KUONGEZA UZALENDO KWA SHULE NA TAIFA LAO

HAPA CHINI NI NAMNA INAVYOONEKANA NDANI






WHERE IT HAPPENS



At Jangwani/Kibambawe street in Kariakoo, near Big Bon Msimbazi/Kongo filling station and UBA Bank in Kongo/Msimbazi street. If you are around the area then give us a call at 0714989312 or 0785676957 or 0714484504 or 0764824349, we will direct or pick you to our place. Very welcome. THE DOOR IS OPEN FOR YOU. GIVE IT TO US and WE will DO IT NOW in HIGHEST QUALITY..!!!
RESULTS MATTERS

Thursday, 3 October 2013

IN PRODUCTION.....MANY MORE ARE TO COME

IN PRODUCTION...and many more are to come. For the best quality print works, call us or visit us at Kibambawe/Jangwani street in kariakoo. If you know Big Bon filling station or UBA Bank in Msimbazi - Kariakoo, then you are very close to Matokeo Publishers and Printers. Very welcome

Tuesday, 17 September 2013

ONE OF THE UPCOMING WORKS

Miracle school book kwa Kiswahili - kava


kwa ndani sehemu ya mwanzo

via Facebook....

Business is war. I go out there, I want to kill the competitors. I want to make their lives miserable. I want to steal their market share. I want them to fear me and I want everyone on my team thinking we're going to win.
Kevin O'Leary

Tuesday, 20 August 2013

POSTERS ZA VIWANGO VYA JUU

KWA WALE WANAOHITAJI POSTERS KWA SIZE YA A4, A3 AU NYINGINE, KARIBUNI SANA. KATIKA MIKUTANO YA INJILI TUNAWAPA TRACTS ZA SIZE YA A6 BURE KABISA, KARIBUNI SANA TUFANYE KAZI PAMOJA NASI




VILEVILE TUNATENGENEZA FLYERS NA KADI ZA AINA MBALIMBALI

KWA KADI ZA HARUSI NA MATUKIO MENGINE MBALIMBALI

Kadi ya mchango wa harusi ya Peter Mwita Godfrey

Ratiba za kuvutia kwa ajili ya Harusi na host wako MC Harris Kapiga

Monday, 22 July 2013

KAZI NYINGINE BORA KUTOKA MATOKEO PUBLISHERS

POSTERS ZA MIKUTANO MBALIMBALI YA INJILI
Mkutano wa Msae - Marangu Kilimanjaro. Umehusisha Mwinjilisti Richard Chidundo na wengine kutoka nje ya Tanzania. Karibu sana kwa kazi njema na mtapata bure tracts kadhaa kwa ajili ya kuwagawia watu kwenye mikutano ya injili. Mbarikiwe sana!

Huu mkutano umeandaliwa na wanafunzi wa Chuo cha Afya Muhimbili kama mpango wa Outreach. Karibu sana kwa kazi njema na mtapata bure tracts kadhaa kwa ajili ya kuwagawia watu kwenye mikutano ya injili. Mbarikiwe sana! Ahsante sana designer mwenye viwango - Bonkey

Saturday, 20 July 2013

WAKATI WA UZINDUZI WA KITABU CHA DK. NGOWI

Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akizindua kitabu cha Dk. Prosper Ngowi "The Economic Crisis of the 2000's and Beyond"
Kwa Hisani ya Vijimambo blog, fuata link hapo chini
http://lukemusicfactory.blogspot.co.uk/2013/05/waziri-mkuu-mstaafu-edward-lowassa.html

Wednesday, 17 July 2013

Tuesday, 16 July 2013

BAADHI YA KAZI TULIZOZIFANYA

 Cover ya Kitabu cha Prosper Ngowi: The Economic Crisi of the 2000's and Beyond kilichozinduliwa mwezi mei na Mheshimiwa Edward Lowassa
Kalenda ya Muhimbili Fellowship of Evangelical Students (MUFES) 2013

KARIBU SANA KATIKA BLOG YA MATOKEO PUBLISHERS

Bango hili linaonesha baadhi ya huduma tunazozitoa hapa Matokeo Publishers. Karibu sana upate huduma bora na za kiwango cha juu kabisa kwa haraka na kwa gharama nafuu.

Matokeo Publishers and Printers; We Design and Print Annual reports, Biographies, Books, Brochures, Bussiness cards, Calenders, Flyers, Letterheads, Magazines, Newspapers, Product labels, etc Pia tunatoa huduma ya kuchoma na kuuza plate, Ku-stitch vitabu, Digital printing, Offset printing, Kukunja karatasi, Perfect binding, Kutafsiri, Kuhariri vitabu, na Graphic Design Tunapatikana mtaa wa Kibambawe/Jangwani - Kariakoo, P.O. Box 10874, Simu: 0714 949312/0785 676957 Dar es Salaam, Tanzania